Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
SawaArusha hapa Opp na DAR XPRESS Stand
SawaArusha hapa Opp na DAR XPRESS Stand
NakufungashiaSawa
hahahaha.sawaWe mzee jamani ukimaliza kutumika ukuje huku
KipenziiiiiiiiiiiiUmemkaje we mzee jamani
Mchumbaaaaaaaaaa sikutekwaaa j3 ilikuwa na ubizeee ila moyoni ulikuwepooooIla auntie una kauchochezi jamani kama baba wawili[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila leo nimemmiss mchumba angu sijui nani kanitekea na hii hali ya hewa jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...nilikuambia aunt, uvumilivu na kusamehe ndiyo kitu pekee wakati ukiwa na anko wangu.
...yupo atakuja katekwa na shemeji wa katibu tarafa anaitwa Halima cheupe , anko wangu Lee msimu huu anatiririka tu na vyeupedawa
Ni wivu wa familia yetuu ...achana naeMmh binamu
Nipo nasubiriNakufungashia
Sio sawa tu we mzee ukujehahahaha.sawa
Babeee [emoji8][emoji8][emoji8]Kipenziiiiiiiiiiii
Nilijua umetekwa babe kikubwa upo mzima nashukuruMchumbaaaaaaaaaa sikutekwaaa j3 ilikuwa na ubizeee ila moyoni ulikuwepoooo
Hahahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anko mwaka huu sio wako kabisa ....yaan unatumia nguvu kubwa kumuaminisha aunt yako kuwa kakosea kunipendaa tena ila ndo hivo hakusikiii kwa lolotee
hahahahaSio sawa tu we mzee ukuje
Haha kabsa rafiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe!!! Sasa hivi itabidi alipie gym kabisa...
Sent using Jamii Forums mobile app
safi.mapenzi km hv safi sana.inapendezaNilijua umetekwa babe kikubwa upo mzima nashukuru
Mimi ndugu yako ankoo....haya hayaishi kiurahisi, yaani ni kama kisasi cha Wasomali, labda ukoo uishe anko 🙂
Haha...acha unaa, alisikika kijana Augustino Lyatonga Mrema akisema wakati anatoka famasi kununua mkuyati
DarlingBabeee [emoji8][emoji8][emoji8]
Natekwa na nani wakat roho yangu upooNilijua umetekwa babe kikubwa upo mzima nashukuru