Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
MABOSI wa Newcastle United wameamua kuonyesha jeuri ya pesa kwa kuamua kujitosa kwenye dili la kuiwania saini ya staa wa PSG na Brazil, Neymar ambaye amekuwa akiwindwa na Manchester City na Barcelona.
Neymar anaonekana kuwa na wakati mgumu kwenye viunga vya PSG na taarifa zinadai ameomba kuondoka mwisho wa msimu huu. Mkataba wake unatakiwa kumalizika 2025.
Neymar anaonekana kuwa na wakati mgumu kwenye viunga vya PSG na taarifa zinadai ameomba kuondoka mwisho wa msimu huu. Mkataba wake unatakiwa kumalizika 2025.