🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣...dunia ya sasa hivi imevaa bukta, pronouns lazima uwe nazo makini.
Anko wangu lazima awe na wasiwasi, siku hizi hadi mbwa anabebishwa na kuduishwa.
Ngoja niendelee na lindo hapa niko na mama yenu mkubwa nampigisha maombi ya mnyororo, style za Makerubi tu