Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Shunie yuko mikono salama ...hapindukii
Shunie yuko mikono salama ...hapindukii
Namuona sana....Wala hafurukuti...Shunie yuko mikono salama ...hapindukii
Mimi sasa
mmmh shangazi niwe na aman kwa chombo yake? AtaniuaLee wangu hana hizo mambo we mzee uwe na amani kabisa
Sikiliza Mukwano ya Tommy Flavor.. NakaziaBaba wawili nakusalimia mimi
Mashem shem mashemejiiiiiii.



Hawezi bwana we mzeemmmh shangazi niwe na aman kwa chombo yake? Ataniua
hahahaha halafu anataka kunitia chaka ,kasahau kuwa mie ni MIShunie yuko mikono salama ...hapindukii
• "Wale wooote yale maoni yao Shirikisho limeyachukua, mimi siwezi kung'oka kihunihuni eti kwa sababu Watu eti masaa 48, kamfanyie Bibi yako masaa 48 huko, eti uning'oe kihuni tu" ——— asema Msemaji wa Shirikisho la Wasanii Steve Mengele View attachment 2160407


Huyu mzee huyuWakazi ujuaji umekuwa mwingi sana
Hebu toa Tamko Rafiki...Huyu mzee huyu

mmmh,unanitega unijaze nijae ktk 18,Hawezi bwana we mzee
Ila auntie unavyomfanya huyu baba wawili.




Zipo nyingi sana..Hivi wakazi ana ngoma ipi katika tasnia ya music
Kwani we mzee ulitaka vipiii jamani sijaelewa ujuemmmh,unanitega unijaze nijae ktk 18,
hapo kwa anko panatosha kasema uko mikono salama
Ujue baba wawili we mtu wa hiphop sana mchumba angu hayo mambo na ye tofauti sana naomba usimchosheZipo nyingi sana..