Makapuku Forum

Makapuku Forum

...anko wangu ni master, yaani legendary king Kong konki konki, jiwe stone, mukulu bilanga, mopao suke chile mutu ya watu, alishaimbwa na band ya Akudo.

Siwezi kumuharibia hata kidogo huyu kaka wa mazaangu.
Sema akija hapa hachelewi kunibagaza.

Mapenzi yenu ni mfano kwa vijana ambao wanapenda kuhamisha magoli kama Nigendako
Hahaha Ankoo kwani bado tuna tatzo, Mimi nilijua tulishayamaliza kumbe bado ankoo[emoji3]
 
Screenshot_20220322-075550_Opera%20Mini.jpg
 
Back
Top Bottom