Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,192
- 35,360
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahaha.shangazi na anko
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahaha.shangazi na anko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu niambie basi baba wawili kimemsibu nini auntie
Umeshamuona Auntie?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani tu acha auntie nimemmiss mchumba angu sijui nani kamteka jamani Lee wangu uko wapi jamani nimekumiss mimi
Ooooooh!!! Hajaniambia Anko...Hapana shemeji, sio nongwa ila kila nikishika simu kuandika jambo kuhusu anko wangu basi roho inapata kigagaziko. Anko wangu ni kocha, labda kama hajakuambia
Kwani Nige anapenda kuhamisha magoli Uncle?...anko wangu ni master, yaani legendary king Kong konki konki, jiwe stone, mukulu bilanga, mopao suke chile mutu ya watu, alishaimbwa na band ya Akudo.
Siwezi kumuharibia hata kidogo huyu kaka wa mazaangu.
Sema akija hapa hachelewi kunibagaza.
Mapenzi yenu ni mfano kwa vijana ambao wanapenda kuhamisha magoli kama Nigendako
Amenichekesha Shem...Unacheka shem[emoji28][emoji28]
Umeshamuona Auntie?
Cc Lee Ili penzi bado jipya jipya Shem wangu[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe!!![emoji2]Wala sio jipya ndo huwa liko hiz miaka yote ni vile hapa kati tulipata break
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sanaa ninge ni ndugu yetu ila katushinda tabia
Ha ha ha ha...Huku ni pika pakua pakuana kula kulanaa yaani hadi wivu
Nipo hapa sema nipo busy busy naingia kwa kubeepKweliii nilikuwa nakusubiria kwa hamu kubwaaa
We mzee bwanahahahaha
Siwezi kabisa kwenda bila weweNa unaendajee bila mm kuwa na wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana shemeji, sio nongwa ila kila nikishika simu kuandika jambo kuhusu anko wangu basi roho inapata kigagaziko. Anko wangu ni kocha, labda kama hajakuambia