Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20220322-075914_Opera%20Mini.jpg
Screenshot_20220322-075933_Opera%20Mini.jpg
 
Ila auntie una kauchochezi jamani kama baba wawili

Ila leo nimemmiss mchumba angu sijui nani kanitekea na hii hali ya hewa jamani
...nilikuambia aunt, uvumilivu na kusamehe ndiyo kitu pekee wakati ukiwa na anko wangu.
...yupo atakuja katekwa na shemeji wa katibu tarafa anaitwa Halima cheupe , anko wangu Lee msimu huu anatiririka tu na vyeupedawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom