makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,962
- 104,375
Aweze Kuchuma mchicha tembele, agome ile mbuzi kagoma, akubali kifo cha mende, akune nazi.Kazi zipo nyingi sana mdada wa kazi gani
Aweze Kuchuma mchicha tembele, agome ile mbuzi kagoma, akubali kifo cha mende, akune nazi.Kazi zipo nyingi sana mdada wa kazi gani
Mtafute mwakinyoNa hamu na ugomvi mimi![]()
Ataanza kutembelea kichwa bure.Nakushauri uuze nyumba ya mwenye nyumba wako alafu uhame...
Watu wanalipiza pale unapoumia zaidi.......ukiwa na nguvu, mamlaka au uwezo tenda haki. Ukionea kisasi hakilipwi kwako tu, kinawafuata na walio karibu yako, ushuhudie akili ikuingie
Ni free boatKwani kuwa hapa bei gani ¿
, LIKE ni sadaka inayopendeza zaidi humu.
Aweze Kuchuma mchicha tembele, agome ile mbuzi kagoma, akubali kifo cha mende, akune nazi.





Nimepita kwenye ushoroba, nikasikia kelele za radio chumbani kwake, huemda yuko macho.UNAAMBIWA
Tafsiri ya neno ‘Ushoroba’ kwenye kamusi ya Kiswahili ni ———> sehemu nyembamba katika nyumba au baina ya nyumba na nyumba, kwa jina jingine ni korido.View attachment 1805691
UNAAMBIWA
Kwenye kamusi ya Kiswahili neno ‘Uposi’ tafsiri yake ni ombi la kuposa au kuchumbia.View attachment 1805699
Mimi niliacha ukiruka mito, nikafanya uposi na karibuni nataraji kufunga pingu za maisha.UNAAMBIWA
Tafsiri ya ‘Kiruka mito’ kwenye kamusi ya Kiswahili ni Mtu asietulia mahali pamoja, tafsiri nyingine ni Mwanaume asieweza kuishi na Mwanamke mmoja kwa muda mrefu kwamba ana tabia ya kuoa na kuacha, kuoa na kuacha.View attachment 1805698
Umri ni chachandu la pendo lakini sio msingi wa pendo. Unaweza kupata mwenye umri sawa na wewe lakini kama hana shahada ya pendo hana tofauti na mfu asieweza lolote. Mkabidhi moyo wako mtu anaejua nini maana ya pendo nasi mfuasi wa ngono.
Watu wengi ni wafuasi wa ngono nasi wapendaji wa dhati. Mfuasi wa ngono muda wote anawaza ngono hawazi mapenzi. Mfuasi wa ngono anakupenda kwasababu una kitu, kitu kikiondoka nae anabadilisha muelekeo pendo.
Mfuasi wa ngono hakujali bali yeye anataka umjali na kumbembeleza kila muda. Mfuasi wa ngono hata siku moja hawezi kukiri kosa anapokosea yeye siku zote yupo sawa na hataki kukosolewa. Mfuasi wa ngono ni hodari wa minuno ukimwambia sina pesa na hata ukimpa hela anasema haitoshi anamajukumu mengi.
Mume au mke apimwi kwa rangi ya maumbile yake wala kwa ukwasi alionao kwenye miliki yake. Mara zote mtu hupimwa kwa tabia zake na utu wake. Tafuta anaekupenda kwa dhati hata kama umri wake utamzidi babu yako au bibi yako kubwa ni pendo nasi umri.View attachment 1806030