Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Ukimaanisha nini etiNakushauri uuze nyumba ya mwenye nyumba wako alafu uhame...
Ukimaanisha nini etiNakushauri uuze nyumba ya mwenye nyumba wako alafu uhame...
Leo sijui kama utanishinda...Nakuona unanitafuta
Nakushinda sababu unanikosea sanaLeo sijui kama utanishinda...
Hizo ni meme's...Ukimaanisha nini eti
Wewe ndiyo unanikosea sana... Huu ugomvi hauzimiki kirahisi...Nakushinda sababu unanikosea sana
MmhWewe ndiyo unanikosea sana... Huu ugomvi hauzimiki kirahisi...


......ukiwa na nguvu, mamlaka au uwezo tenda haki. Ukionea kisasi hakilipwi kwako tu, kinawafuata na walio karibu yako, ushuhudie akili ikuingieHizi ni picha za Mkuu wa zamani wa Majeshi wa Uganda Jenerali Katumba akiwa na Mtoto wake aitwae Brenda kabla ya kifo chake leo, Brenda amefariki leo baada ya Watu wasiojulikana kulishambulia kwa risasi gari walilokuwemo ambapo pia Dereva naye amefariki, Jenerali Katumba amejeruhiwa na amelazwa Hospitali.
“Brenda amerudi hivi karibuni kutoka Marekani ambako amehitimu masomo yake, inaumiza sana sijui Serikali itafanya nini kuhusu tukio hili maana Katumba hajafanya lolote baya kustahili mateso haya”———Joyce Sentongo, Ndugu wa Katumba.
Jenerali Katumba Wamala ambaye amekuwa Waziri wa uchukuzi na ujenzi kwenye Serikali ya Rais Yoweri Museveni ya muhula wa tano anatambulika kama Mtu asiyependa makuu na hatembei na msafara wa Walinzi kama wenzake walio kwenye ngazi za juu za Serikali. View attachment 1805011View attachment 1805012View attachment 1805013View attachment 1805014
Kwahiyo binamu unaona amestahili kupata hiyo adhabu......ukiwa na nguvu, mamlaka au uwezo tenda haki. Ukionea kisasi hakilipwi kwako tu, kinawafuata na walio karibu yako, ushuhudie akili ikuingie
Anagalau leo umejisema kuwa ww mkorofiShunie mimi chaukorofi![]()
EwaaaaaahKila mtu apambane na hali yake jamani![]()
Kwahiyo binamu unaona amestahili kupata hiyo adhabu
Hivi smart ndo mahondow?
Kivipi yaaniHivi smart ndo mahondow?
Nmeuliza kumbe member hawa wawili huwa sielew yupi ni yupKivipi yaani