Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Au rost ya birianiNayaonaga kwa macho tu... Sijui vile ni viungo au kachumbari zimeungua...
Au rost ya birianiNayaonaga kwa macho tu... Sijui vile ni viungo au kachumbari zimeungua...
Mimi sijui mimi nataka biriani yako...Au rost ya biriani
Ile ya juzi eenhMimi sijui mimi nataka biriani yako...
Ndiyo ile juzi... hapo ndiyo ugomvi utaisha...Ile ya juzi eenh
Hahhhaha ebu niambie kweli unamaanishaNdiyo ile juzi... hapo ndiyo ugomvi utaisha...
La sivyo ugomvi unaendelea... na umeutaka mwenyewe huu ugomvi...Hahhhaha ebu niambie kweli unamaanisha
Hahahahaha eti nimeutaka sawa bwanaLa sivyo ugomvi unaendelea... na umeutaka mwenyewe huu ugomvi...
Umeutaka ndiyo 😉Hahahahaha eti nimeutaka sawa bwana
Acha niwe mpole tuUmeutaka ndiyo 😉
Kuna watu pepo wataisikia tu ! Yaani unatupa damu yako Hivi hivi bila uchungu!!UNAAMBIWA:
Mchungaji Lee Jong-Rak kutoka Korea Kusini ametengeneza Kisanduku cha kuwekea Watoto ambacho kimeunganishwa na upande mwingine wa nyumba yake, lengo ni kwamba Watu wote ambao wanataka kutupa Watoto wao vichanga au Watoto wenye matatizo ya akili wawe hata kwa siri wanawaweka hapo badala ya kuwatupa Barabarani wakaishia kufariki Dunia.
Tangu mwaka 1998 Lee ameshawaleta Watoto wengi kuwaonesha upendo na kuwapeleka shule na anapambana na mambo yote ikiwemo kuwabadilisha diapers na kuwabmbeleza usiku wakilia akishirikiana na Mkewe na Wafanyakazi wachache, kwa saa anao Watoto zaidi ya 20 nyumbani kwake, mdogo kabisa ana miezi miwili na mkubwa miaka 18.
“Hauna haja ya kumtupa Mtoto asiye na hatia Kama umeshindwa kumlea mlete tutamtunza” ———Lee View attachment 1804420View attachment 1804421View attachment 1804422View attachment 1804423
🤣🤣🤣🤣🤣 hatarious.
Hapa ni bure mkuu karibuKwani kuwa hapa bei gani ¿
Naomba urudishe avatar ya mwanzohatarious.
Yaani mchungaji ana roho jamani na familia yakeKuna watu pepo wataisikia tu ! Yaani unatupa damu yako Hivi hivi bila uchungu!!
Mungu amuweke huyo Baba jamani
Kunusa jamanihatarious.
Hii inaakisi moody niliyonayo kwa sasa 🤣Naomba urudishe avatar ya mwanzo