Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Ugomvi si umeisha eti
Ugomvi si umeisha eti
Utapotezaje kirhisi hivi...Ugomvi si umeisha eti
Jamani bado unaendelea tuUtapotezaje kirhisi hivi...
Unajua cha kufanya ili nikusamehe...Jamani bado unaendelea tu
... ngao ya kidonge na ngao ya ungaHivi smart ndo mahondow?
Kipi hiko cha kufanyaUnajua cha kufanya ili nikusamehe...
Pika pilau la rangi rangi kama la siku ile...Kipi hiko cha kufanya
Alafu nakuliza hiki nini, unanishushua...Jinga wewe
Ni mtu mmojaNmeuliza kumbe member hawa wawili huwa sielew yupi ni yup
Ok ndo new baby in town?Ni mtu mmoja
Kwa sababu ulikuwa unajua ni chakula gani kwanza umejijibu mwenyeweAlafu nakuliza hiki nini, unanishushua...
Huyu ndo baby mpya ?![]()
Kivipi yaaniOk ndo new baby in town?
Kuna biriani za aina nyingi... Ndiyo maana nikauliza...Kwa sababu ulikuwa unajua ni chakula gani kwanza umejijibu mwenyewe
Hahhaha haina zipi nyingine hizoKuna biriani za aina nyingi... Ndiyo maana nikauliza...
Kuna biriani jeusi kama pilau...Hahhaha haina zipi nyingine hizo
La tope ndio lipoje hiloKuna biriani jeusi kama pilau...
Kuna biriani la rangi rangi...
Kuna biriani kama tope...
😀 😀
Nayaonaga kwa macho tu... Sijui vile ni viungo au kachumbari zimeungua...La tope ndio lipoje hilo