Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Kwa hao walokuletea khabariNiende wapi mama Naah?
Kwa hao walokuletea khabariNiende wapi mama Naah?
Mtu chake..Hizi ni kweli au story za hapa na pale ,
Mambo yenu ya wasap haya eeh, dah ndio maana naogopa sana
Mie sio mtotoooHahahaha, hkn hicho kitu,sina file la MTU mie napenda nikipata muda kuzingua , huku alinileta shangazi Shunie so ndio nimemzoea
Wozap uko tulimuongelea aliyekupa picha zangu
SiyoooMkuu ume mblock MTU huko wasap ,dah asee tuhuma hz
Sio wewe mzee wa Shunie...Asee mie ni mnafiki,? Dah Rafiki umenikosea sana asee ,ila usijari
Hahaha hahaha hahahamfyuuuuu ila ujue nilimuulizaga akakataa
Wewe ujue kwenye whatsaap kuna options za nani na nani auone status zako...Yaan kanifanya nirudi kwa stts kuangalia mara mbili
Hahaha hahaha hahaha hahahaMnapoteza maana ya chitchat ,OK wazeni mnavyowaza siwezi jua huko wozap zenu mnajadili nn
Dah ndio maana Nilikua nakuuliza kabla sijaja ,huko naweza toa stress ,maana nishazoea kule intelligence na internationalSawa sawa we mzee ila mm nakuelewa vizuri sana
Unajuaga sipendi uongoo mieNisameheme basi...
Mapenzi bila uongo hayanogi bhana
Hahahaha wapi huko mukuuMutu ya lubumbashi,siku ile sikutajwa aisee!
SawaSi mama D Alinifundisha kufunga pm
Hahaha hahahaIle namba si unakumbuka walinikaba simu bhana! Nikachelewa kwenda kusajili wakaifungia..
OooohDaah hizi Tuhuma sio nzuri lakini..
SawaSijui hata hiyo kublock mtu mimi whatsapp..
Nikuulize wewe apo... What did I do wrong?!Mama Naah hebu acha hizo story bhana..!
Mbona hivyo lakini?
Mtu chake..
Leo nashambuliwa sana! Ila sijafanya hivyo mimi
SawasawaMnapoteza maana ya chitchat ,OK wazeni mnavyowaza siwezi jua huko wozap zenu mnajadili nn
Si umeona status wewe jamaniiiDaah! Mashemeji zangu wabunge kumbe
.? Mbona sijawahi kuwajua hawa..?