Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Wozap uko tulimuongelea aliyekupa picha zanguIlikua wapi au huko wozap ?
Wozap uko tulimuongelea aliyekupa picha zanguIlikua wapi au huko wozap ?
Sasa hivi ni yeye kweli itakuwa
Sawa sawa we mzee ila mm nakuelewa vizuri sanaDuh ,asee mie nachangamsha tu jukwaa hkn lolote ma Rafiki
Mutu ya lubumbashi,siku ile sikutajwa aisee!Duh ,asee mie nachangamsha tu jukwaa hkn lolote ma Rafiki
Ndiwooo....
Ukweli ndo huo sasaaa.... Kila mtu ako na file la mwingine
Mpambane na khali zenu hukoo
Kwahiyo yupo kotekote woiiiiiii
Ko hiyo bora lee au? ?Wozap zangu anasoma tu hajibu
Niende wapi mama Naah?Akwende hukoo
Nisameheme basi...Huoni hata aibu eti leo alhamisi kuu
Si mama D Alinifundisha kufunga pmKuna nini eti
Jamani asante we mzeeYesu akutunze
Ile namba si unakumbuka walinikaba simu bhana! Nikachelewa kwenda kusajili wakaifungia..Ila umeniblock
Daah hizi Tuhuma sio nzuri lakini..Wala asiniunblock sina shida na yeye! Ila angeniambia tuu nakublock sababu ya haya yafuatayo....
Sijui hata hiyo kublock mtu mimi whatsapp..Ndiwooo...
Halafu mtu anakupa block bila kujua kosa ni lipi
Wala usijali bwana, mie mtu mzima ujue! Ungeniambia Sakayo nakublock sababu sitaki mazoea na wewe! Mbona ningeelewa eti! Au ulidhani ningekuganda?!
Daah! Mashemeji zangu wabunge kumbeSijaona kwaya mm toka asubuhi zaidi ya stts ya ndg zako wabunge
Sijablock mtu mimi...Hivi kweli kakublock kwahiyo kuna kivuli
Huyo mtu yupo kote kote kwako na kwangu we mzee ujue sasa picha zangu kakupa uwe unaziangalia tu au