Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Wasap ni wapi etiMkuu ume mblock MTU huko wasap ,dah asee tuhuma hz
Wasap ni wapi etiMkuu ume mblock MTU huko wasap ,dah asee tuhuma hz
Hahaha hahaha hahaha
Wewe waza tuu kama zinamaanisha!
Hahahaha ,mie na uzee huu nitajuajeWasap ni wapi eti
Yaan kanifanya nirudi kwa stts kuangalia mara mbiliHahaha hahaha
Muongo sana huyo jamaa
Hahaha hahahaHaya usijari ila mutoto muzuri km wewe anakublock dah
JF chitchat
Tulia hukoooHahahaha ,mie na uzee huu nitajuaje
Woiiii hunishindi mm jamaniSiku kuu tayari, sina hela yaani nalia tuuuu akiii

safari ya ikulu inanihusuHahaha hahahaYaan kanifanya nirudi kwa stts kuangalia mara mbili
Bora hata asome asikujibu... Unajikuta tuu siku umeblockiwa bila sababu yoyote



Nacheka mm kama mazuriHahaha hahaha hahaha hahaha hahahaWoiiii hunishindi mm jamanisafari ya ikulu inanihusu
Mm nimefanyaje eti halafu ww mzee mm sio mtoto mm kibibi gagulaIla we mtoto dah,yaani we acha tu
Usicheke akiNacheka mm kama mazuri
Unachoogopa nn ww mzee na wakati wozap ndio kwakoHizi ni kweli au story za hapa na pale ,
Mambo yenu ya wasap haya eeh, dah ndio maana naogopa sana
Sasa uzirudie we mzee zinakuhusu jamaniMmmh, mbn km zina maanisha ,nimerudia kuzisoma kwa umakini mno ,ila sawa km ni story za hapa na pale




HaahahhaHahaha hahaha
We mzee wa Shunie hebu niache mie
Hahahaha, samahani kwa kukuita mtoto ( murembo ) ,halafu Bibi na Mzee ( babu) inapendeza sanaMm nimefanyaje eti halafu ww mzee mm sio mtoto mm kibibi gagula
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
Bora wewe uko na ikulu





Hahahaha, samahani kwa kukuita mtoto ( murembo ) ,halafu Bibi na Mzee ( babu) inapendeza sana
Mie sitokublock kabisa






