Makapuku Forum

Makapuku Forum

No mnataka kuleta uzushi wenu wa huko wozap na JF, wkt sio ,nyie ni GT mna njia nyingi za kujua ABC

Sipendi MTU aunge dots za uongo uongo, wewe nimegusa kublokiwa kwako umekana fasta,nami nikaelewa ,ila kupitia chating hz ndio niliona kuwa uko blocked sehemu

Easy
JF chitchat
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
Wewe mzee wa Shunie umepanick eehhh...

Chit chat
 
No mnataka kuleta uzushi wenu wa huko wozap na JF, wkt sio ,nyie ni GT mna njia nyingi za kujua ABC

Sipendi MTU aunge dots za uongo uongo, wewe nimegusa kublokiwa kwako umekana fasta,nami nikaelewa ,ila kupitia chating hz ndio niliona kuwa uko blocked sehemu

Easy
JF chitchat
We mzee relax kama alivyoimba darasa woiiii kumbe hujuagi matani hapa tunataniana tu acha kupanick relax
 
No mnataka kuleta uzushi wenu wa huko wozap na JF, wkt sio ,nyie ni GT mna njia nyingi za kujua ABC

Sipendi MTU aunge dots za uongo uongo, wewe nimegusa kublokiwa kwako umekana fasta,nami nikaelewa ,ila kupitia chating hz ndio niliona kuwa uko blocked sehemu

Easy
JF chitchat
Kuwa na amani kabisaaa...
Unafikiri ingekuwa block si ningeenda pm kwake ningeweka hapa?!

Nisamehe kama nimekukwaza ila hutoona nakutania tena mkuu! Nilijua ni moja ya utani wa kapuku!
Nisamehe mimi, usiku mwema!
 
Mko serious, niko makini kuliko unavyodhani ,nacheza sana na hz texts zenu na za watu wa humu kila siku, more than 9 years ujue
Eiish acha nileft humu muwe na usiku mwema jamani watu wamepanick sijui shida nn woiiii matani mtu unapanick

Mbona ulisema una picha zangu sijapanick

Muwe na usiku mwema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom