makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,860
- 104,024
Tayari kwakweli,,nipo hapa nangoja ulipe ndio niruhusiwe kuondoka

Waaleykumsalaam,hujambo.?Asalaam Alyekum
)Kwetu mwiko.
Mwambie aangalie simu yake tayari nishafanya muamala, mdai na chenji yetu.Tayari kwakweli,,nipo hapa nangoja ulipe ndio niruhusiwe kuondoka![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa sasa ni ruksa bibie..
Kabisaaa
Hahahaha mwehu kabsaKwetu mwiko.
Uko fresh Binam yake boss koroshow.? Nawe umetekwa ukatekeka. ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyangema wa matopeni...Huyo sio Makaveli maana jamaa anazubaa sana
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nimekumiss mwaego!!!Makaveli anazubaa humu tu, ila kwenye anga zake mkute weeeeee![]()
Nmejikuta tu nafukua makaburi.. Chwiti pie, ukuye huku nimekumiss mficha vyangu vya siri, mwenye kunisitiri, fundi mitambo wangu mwenyeweGuys mpo?? Duuuh loong time sana, nimemuona mkongwe mwenzangu...baby Makaveli 10![]()
Shemela niko chobingo usiku huu nafukua makaburii!!Karibu bibie makaveli10 yupo humu
Nasikia ww ndo mbebez wake
Mkuu hiv unamtekaje iko uwais, scot adkinson!! Niko fiti kalikiti.Makaveli ulimtelekeza akatekwaa
Teh teh teh!!!Mhh sijawahi kuachika kwa Maka, nilikuwa bize nalea mtoto wetu....iambie michepuko yote kamanda mwenyew nimetimba