Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ishu hapo siyo wakili bali aina ya sheria /hukumu
Kwa Bongo kosa la mauaji ni kifungo cha maisha(life imprisonment) na kuua bila kukusudia adhabu inaweza kuwa miaka miwili na kuendelea
Nchi zinatofautiana sheria hivyo Tz ukipatikana na hatia ya mauaji(murdsr) hata utetewe na Kibatala adhabu ni hiyohiyo
Yeah wao wana sheria tofauti na zetu.
 
Shunie, nna ndugu yangu alitumia ila yeye alifanya Heroine, yani tangu akiwa Shuleni Uganda....yeye alimix bangi na Heroine....alikuja kuwa chizii balaa, vikao vikakaa wakampeleka Tanga kuna institution flan hv ipo Lushoto huko Lutindi miliman huko yani bila hivyo tungempoteza maana hatua aliyofikia ni ile akikosa arosto yake sasa hadi anatetemeka mwili mzima, aliacha kutumia ila mpaka leo ana hali flan hv ya kuzubaa bado hajatengemaa vizuri.
Huyo sio Makaveli maana jamaa anazubaa sana
 
Haya mambo uyasikie tu kama hauna ndugu anayetumia

Nina mjomba yangu ni teja acha tu tumpeleke sobar hataki tumpeleke akanywe hata dawa zao za methadone hataki anasema tusimlazimishe

Tumuache eti akiamua mwenyewe atafanya lini sasa gari linazidi kuwaka tu haya mambo narudia uyasikie tu kama hauna ndugu yako wa karibu anayetumia
Utamu wa ngoma ingia ucheze
Raha aipatayo teja kwa kubwia unga ni X 1000 ya kufanya mapenzi na kufika kileleni
Sasa unadhani ni vita rahisi ?
 
Machester United watahitajika kumlipa Mourinho pauni milioni 29 ikiwa watamfuta kazi meneja huyo,lakini kiwango hicho kitashuka hadi paunia milioni 10 ikiwa atamaliza msimu na United washindwe kumaliza katika nafasi za Ligi ya Mabingwa. (Mirror)
 
Machester United watahitajika kumlipa Mourinho pauni milioni 29 ikiwa watamfuta kazi meneja huyo,lakini kiwango hicho kitashuka hadi paunia milioni 10 ikiwa atamaliza msimu na United washindwe kumaliza katika nafasi za Ligi ya Mabingwa. (Mirror)
 
Mourinho alifichua kuwa alipokea ujumbe wa imani naye kutoka bodi ya Manchester United kabla ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Newcastle. (Times - subscription required)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom