makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,861
- 104,006
Niko fresh!! Full Masinondo..My hubby Makaveli 10 yuko salama humu kweli, Mh![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko fresh!! Full Masinondo..My hubby Makaveli 10 yuko salama humu kweli, Mh![]()
Shwari kiongozi
Ipi hiyo marybaby
Hii danganya toto kbsMwambie aangalie simu yake tayari nishafanya muamala, mdai na chenji yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahadi yaHapa sasa ni ruksa bibie..
Leo huyu mnaijeria kajitahid kupanga kikosi sijui kapangiwa!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app

bure imesaidia.Eeh ss mbona ukaniacha nduguyo ktk iman tukaenda kula wote.?Hahahaha mwehu kabsa
Huku kwema kabsa,tulikuwa tunakula mapesa ya koroshow na binamu yangi
Nipo sana,hata sijatekwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ya mwalimu wa kiswahili akiingia darasani std 2 BIpi hiyo marybaby
Aagghh! Halaf kwanin wameiita blue monday!?Haya haya Blue Monday ndo hii muamke ss mda wa kuchapa kazi huu,
Muwe na J3 njema yenye baraka na mafanikio.
Sent using Jamii Forums mobile app