Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Nzuri kabisaaa
Vipi kipande hiyo
Nzuri kabisaaa
Mpaka wauze sukari robo beiSs mbona mnagoma wote,? Embu mnidokeze nami nikwame hapo mlipokwamia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwangu.Alafu hizi notifikesheni za humu sijui ni mimi tuu au hata kwenu uko ulipotekwa.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo ngoja nijifanye neno uzalendo limefutika kwenye kamusi..
Yupo salama wa salmin.. Kawa kama pierrre, konki masta, konki liquid, konki fireee..Asante kwa kuniita lkn cha ajabu sipati notification kwa wakati.
We umemwona,? Yupo salama kutoka huko vyurani?? (Huu umbea nao km wa sudi)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipande hii njema kbs jua kali na mirinda bariiidi karibuNzuri kabisaaa
Vipi kipande hiyo

Yupo salama wa salmin.. Kawa kama pierrre, konki masta, konki liquid, konki fireee..
Sent using Jamii Forums mobile app


dah Baada ya mechi hii ndio tulitoe neno uzalendo.Leo ngoja nijifanye neno uzalendo limefutika kwenye kamusi..
Uzalendo mwingine unaweza kufa kwa presha tu tena kwa vitu vyepesi, mara nyingi huyu kocha sipend upangaji wake wa kikosi na mbinu zake za mchezo, kuna sehemu unaona kabisa anatoa boko, labda leo ajirekebishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ngoja leo iwe zamu yako kukusikiliza, ila mie nakwambia hakuna cha miujiza wala nini..Baada ya mechi hii ndio tulitoe neno uzalendo.
Alafu anawezafanya miujiza leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ngoja leo iwe zamu yako kukusikiliza, ila mie nakwambia hakuna cha miujiza wala nini..
Sent using Jamii Forums mobile app



Woyooooooo
Habari yako makaveli10
Alafu hizi notifikesheni za humu sijui ni mimi tuu au hata kwenu uko ulipotekwa.?
Sent using Jamii Forums mobile app