Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Hahaha waliokesha watakuja humu mchana au jioni..
Wewe weka attendance list tuu utawaona..
Kina shunie , mtu chake na ndugu zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha waliokesha watakuja humu mchana au jioni..

Asante marybaby...Haya haya Blue Monday ndo hii muamke ss mda wa kuchapa kazi huu,
Muwe na J3 njema yenye baraka na mafanikio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa!! Tutake radhi tunaoishi dar.. Mie mbona sipip hayo mambo!!?
Haya fanya maarifa mwenyewe..
Hahaa!!Hahaha waliokesha watakuja humu mchana au jioni..
Wewe weka attendance list tuu utawaona..
Kina shunie , mtu chake na ndugu zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoo.mnisamehe msiopiga glassHahaaa!! Tutake radhi tunaoishi dar.. Mie mbona sipip hayo mambo!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya fanya maarifa mwenyewe..
Mwambie akupe tigo pesa account yake tumpe hela yake.
Sent using Jamii Forums mobile app



Hahaha waliokesha watakuja humu mchana au jioni..
Wewe weka attendance list tuu utawaona..
Kina shunie , mtu chake na ndugu zao.
Sent using Jamii Forums mobile app


ujue hiyo kesi??Ukubwa wangu nini
Upo kwa mama nyumbani au kwa shululu, km upo kwa mama nyumban kusanya kila kilicho chako, njoo hapa nyumban nikupeleke kwa shululu tukayamalize na kama upo kwa shululu, wasalimie wanangu kina JJ nitakuja kuwaona weekend.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shikamoi tetraKUMEKUCHA
@marybaby huyu in shemeji yngu rafiki wa baba wawili