Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728






Tetra!! Upo maandishi matatu(u.s.a) saa 9 za usiku unatwambia kumekucha!!KUMEKUCHA
Habari yako Maria
Siendi


Alikuwa anakusaka nikamwambia umefichwa na mtu m1 wa kuitwa giorgio chiellin kibibi kizee toka turin italia hapo..
Alafu hizi notifikesheni za humu sijui ni mimi tuu au hata kwenu uko ulipotekwa.?
Asante kwa kuniita lkn cha ajabu sipati notification kwa wakati.
Shukran sana na kwako pia.Muwe na asubuh njema ndugu zangu wa kanisani mwende kanisani, mtu kama shunie alikuwa anadoji shule, ananyuti mafundisho, hata kanisani nako unapiga chimbo.. Vibaya hivyoo shunie akee mpaka mungu unampigia chimbo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ss mbona mnagoma woteSiendi
,? Embu mnidokeze nami nikwame hapo mlipokwamia