Makapuku Forum

Makapuku Forum

KAPUKU naamini mmeamka salam,
Mungu awafanyie wepesi ktk Mihangaiko ya kila sk na 1st Feb iwe ni mtelezo mpk Dec (kwa rehma zake)
Muwe na asubuhi njema yenye baraka nawapenda

Sent using Jamii Forums mobile app

Asante kwa wishes hizi, na binafsi nafurahi umeamka salama, nimeona smile kwenye maandishi yako na hii ni kwa sababu Jukwaa hili ni zuri kwa sababu wewe u sehemu yake.

Tunakupenda na mimi nakupenda zaidi. Asubuhi na siku njema kwako.
With more love from Obe
 
Haijalishi nitaingia muda gani, ila kuwepo hapa tu ni sababu nzuri ya kusema nakufurahia wewe mdau wa jukwaa hili mara zote unapokuwepo hapa ni jambo zuri.

Burudika kwa muziki na BTW Nyagei mtaasisi, ni jambo zuri kukuona hapa jukwaani

What a blessed dedication mtaasisi thanks so much

BTW now am back with full charge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekumiss aunt yangu

...eeh, kumbe uko kwenye maombi!!! Mbona sikulijua hili mapema nikuletee raha zangu uziombee.

kwanini sikujua hili mapema jameni, yaani hakuna hata mtu mmoja wa kuniambia. Watu wabaya sana.

haya sasa unamalizia maombi, je yalikuwa maombi ya mnyororo au ya kuungaunga kama sala za maskini


Sent using Jamii Forums mobile app
 
...yule hawezi kuacha kunitaja, nilimsaidiaga sana maana nilitembea naye sana, hata akichoka namtia moyo, tunatembea tu, nikikaza harakaharaka anasema atachoka haraka na mimi nitamaliza mapema. tulitembea toka Shangani hadi hapa chuo cha Ualimu Mtwara. Hawezi kusahau, tulitembea sana maana hakuwa na nauli na mimi nilikuwa sijalipwa hela zangu za korosho hivyo sikuwa na nauli suluhu ikawa ni kutembea kwa miguu tulivaa viatu hatukuwa pekupeke
Hahaha binamu bhana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom