Makapuku Forum

Makapuku Forum

Haijalishi nitaingia muda gani, ila kuwepo hapa tu ni sababu nzuri ya kusema nakufurahia wewe mdau wa jukwaa hili mara zote unapokuwepo hapa ni jambo zuri.

Burudika kwa muziki na BTW Nyagei mtaasisi, ni jambo zuri kukuona hapa jukwaani

This special forum, the popular Makapuku
In the naked night you will see tens people
Take off your cloths and maybe you will see thousands more
When its quite here, We ask 'Mmetekwa'
Simply to mean member funked, in silence
yes, i said funked, I spelled it right in the sound of silence
And as we funking in our dodge 2019
No one should dare disturb the silence we enjoy today
Member hearing without listening
My uncle speaking without talking and
My aunt shares with no one
My binamus dancing without music and my girl thinks of dumping me
..she is tired, me waiting my Korosho money.

Nikiwa kwenye utulivu sauti sina, napenda kuandika ubeti mmoja au beti mbili za mashairi ya kisasa. Nimezoea na ninapenda, nimelelewa na wewe usiache kufanya kile unachopenda na mawazo mazuri huja wakati wa januari

funny-animal-gifs-10.gif
 
Kwa mwenye ufahamu anihabarishe, CRDB imefanya mabadiliko ya ada kwa baadhi ya huduma.

Mfano, kuhamisha pesa toka account binafsi kwenda kwenye simu yangu ni Tshs 1,500 je hii nailipakwa mwaka au ni kila ninapohamisha pesa.

Ninaweza kuuliza CS ya CRDBlakini hapa pana nguvu zaidi kuliko huko wasiojua kuwa akili yangu hadi nieleweshwe na kuleweshwa
 
kaka ningendako hela yetu ya twisheni haijaenda bure
 
Kwa mwenye ufahamu anihabarishe, CRDB imefanya mabadiliko ya ada kwa baadhi ya huduma.

Mfano, kuhamisha pesa toka account binafsi kwenda kwenye simu yangu ni Tshs 1,500 je hii nailipakwa mwaka au ni kila ninapohamisha pesa.

Ninaweza kuuliza CS ya CRDBlakini hapa pana nguvu zaidi kuliko huko wasiojua kuwa akili yangu hadi nieleweshwe na kuleweshwa
Mm cjui binamu watakuja wengine kukuelewesha
 
Kwa mwenye ufahamu anihabarishe, CRDB imefanya mabadiliko ya ada kwa baadhi ya huduma.

Mfano, kuhamisha pesa toka account binafsi kwenda kwenye simu yangu ni Tshs 1,500 je hii nailipakwa mwaka au ni kila ninapohamisha pesa.

Ninaweza kuuliza CS ya CRDBlakini hapa pana nguvu zaidi kuliko huko wasiojua kuwa akili yangu hadi nieleweshwe na kuleweshwa
Ukimuongaaa cheupe haikucost ila kuchangia mapato wa watoto wazuri wa bank unaona nongwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom