marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nadhani na lile jiwe la Jupiter (ktk je wajua na anti )litashuka kwa kasi ya 4G+...ha hahaha, ukianza Feb hali itakuwa mbaya sana maana kwa jinsi siku zilivyo chache basi utaona kila rangi maziwa mtindi yatapikiwa chai
[emoji23][emoji23][emoji23]embu muulize Binam yako km anajua hata kukiss[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni uzembe wa kiwango cha juu sana..Nitajulia wapi mimi jameni, ndo kwanza mjini nimekuja hata wiki sijamaliza
....mambo ya wazungu hayo, sijui makiss kiss sijui masucksuck, mtu kala zake dagaa wa Mwanza na samaki wa kubanikwa halfu eti kiss me,
Huu ni uzembe wa kiwango cha juu sana..
Asante kwa jibu mubashara (japokua ulichokijibu nna mashaka nacho)
Masucksuck [emoji23][emoji23][emoji23][emoji114]mgeni umekuja mjini na kamba kila pahala
ningendako umeona jibu.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni uzembe wa kiwango cha juu sana..
Asante kwa jibu mubashara (japokua ulichokijibu nna mashaka nacho)
Masucksuck [emoji23][emoji23][emoji23][emoji114]mgeni umekuja mjini na kamba kila pahala
ningendako umeona jibu.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja kwanza nicheke kicheko cha marrybaby,[emoji38][emoji38][emoji38]Hongera binamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe kukiss kuna utaalam[emoji23][emoji23][emoji23]embu muulize Binam yako km anajua hata kukiss[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja naweFurahiday njema wadau na ni mwezi mpya kabisa. Furahi kwa sababu wewe ni mtu unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
zile mambo za kwenda gym eti new year resolution zimeishia jana
![]()
Mfunze kama hutojali[emoji4][emoji4]ndio mtoto,lkn Binam yake Ningedako ye hajui hata neno lenyewe wala kitendo
Sent using Jamii Forums mobile app
Furahiday njema wadau na ni mwezi mpya kabisa. Furahi kwa sababu wewe ni mtu unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
zile mambo za kwenda gym eti new year resolution zimeishia jana
![]()
Ngoja kwanza nicheke kicheko cha marrybaby,[emoji38][emoji38][emoji38]
...huyu Ningendako ni mchepukaji, usimuite tafadhari. unaweza kumuita akaja kweli halafu akachepuka tena usimuone ukabaki huyu si alikuwa hapa saa hii tu