Makapuku Forum

Makapuku Forum

...Ha ahhahahaha, ndugu yangu wewe ujue, ila sio kwa fitna unazonifanyia, utasema una ujamaa na Mzee Akilimali tajiri wa Yanga
Hahahahaha binamu khusu lile swala nmeshaacha bhna,maana mara zote nikiwa na yule binti haachi kukutaja ww,sijui ulimfanyia nn??au zile shanga na cheni ulizomnunulia

Hapo kwa tajiri wa Yanga,Mzee Akilimali ndio umeniweza kabsa binamu hahahah,,anamiliki msikiti yule mzee
 
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] narudia ili yarudi katika hali yake ya kawaida[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hana lolote huyo dada ,,atakuwa kamiss lile kiss la kizee la binamu,,,hl lako la kijana bado anaweweseka nalo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahaha binamu khusu lile swala nmeshaacha bhna,maana mara zote nikiwa na yule binti haachi kukutaja ww,sijui ulimfanyia nn??au zile shanga na cheni ulizomnunulia

Hapo kwa tajiri wa Yanga,Mzee Akilimali ndio umeniweza kabsa binamu hahahah,,anamiliki msikiti yule mzee

...yule hawezi kuacha kunitaja, nilimsaidiaga sana maana nilitembea naye sana, hata akichoka namtia moyo, tunatembea tu, nikikaza harakaharaka anasema atachoka haraka na mimi nitamaliza mapema. tulitembea toka Shangani hadi hapa chuo cha Ualimu Mtwara. Hawezi kusahau, tulitembea sana maana hakuwa na nauli na mimi nilikuwa sijalipwa hela zangu za korosho hivyo sikuwa na nauli suluhu ikawa ni kutembea kwa miguu tulivaa viatu hatukuwa pekupeke
 
Hahahahaha binamu khusu lile swala nmeshaacha bhna,maana mara zote nikiwa na yule binti haachi kukutaja ww,sijui ulimfanyia nn??au zile shanga na cheni ulizomnunulia

Hapo kwa tajiri wa Yanga,Mzee Akilimali ndio umeniweza kabsa binamu hahahah,,anamiliki msikiti yule mzee
[emoji134][emoji134][emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hana lolote huyo dada ,,atakuwa kamiss lile kiss la kizee la binamu,,,hl lako la kijana bado anaweweseka nalo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]embu muulize Binam yako km anajua hata kukiss[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom