marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197

Waaleykumsalaam (nimejitazama mara 3 3 kuuona huo urembo sijaupata)
Mzima wewe,?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante.wikend Njema wadau wema wa jukwaa hili
Mtekaji wako anafanya sio poaNimemiss kicheko cha mtu fulani hapa!![]()
Hahahaha, Niko poa Kabisa ,na shangazi nae yuko poa ,umeamkaje Mjomba
Hahahaha....nilikuwepo, ila ilibidi nitoroke maana niliona umekuja umevaa kisabato.
Mambo ya chemba hayakuhitaji uje umevaa suti ya gauni. Nilikasirika sana maana nilidhani utakuja na dera tu.
Umeniudhi sana yaani hapa hata raha sina

....nilikuwepo, ila ilibidi nitoroke maana niliona umekuja umevaa kisabato.
Mambo ya chemba hayakuhitaji uje umevaa suti ya gauni. Nilikasirika sana maana nilidhani utakuja na dera tu.
Umeniudhi sana yaani hapa hata raha sina
Nimeamka poa sana mjomba nilikua nawahi misa ya sabatoHahahaha, Niko poa Kabisa ,na shangazi nae yuko poa ,umeamkaje Mjomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Waaleykumsalaam (nimejitazama mara 3 3 kuuona huo urembo sijaupata)
Mzima wewe,?
Sent using Jamii Forums mobile app