Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
Kama nyoka pangoni
Kama nyoka pangoni
Urembo ndani tena,?wakati unatakiwa uwe nje uonekane.Hahaha urembo wako upo kwa ndani
Nipo poa vp ww,weekend vp?
[emoji23][emoji23]naweka (......) maneno yako yana maana nyingi sana[emoji114]Kama nyoka pangoni
Enzi zetu hizi binamu,wakat huo mziki unaitwa mziki
Hahahahaha....nilikuwepo, ila ilibidi nitoroke maana niliona umekuja umevaa kisabato.
Mambo ya chemba hayakuhitaji uje umevaa suti ya gauni. Nilikasirika sana maana nilidhani utakuja na dera tu.
Umeniudhi sana yaani hapa hata raha sina
Hahahahaha
Urembo wa nje ni wa uongo,,urembo wa kweli upo ndani[emoji41]Urembo ndani tena,?wakati unatakiwa uwe nje uonekane.
Niko poa weekend ipo fresh sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Week end njema, Leo kamshange tu caf champion league ,stade mazembeHahahahaha
Kwema mjomba?habari za weekend huko
[emoji23][emoji23][emoji23]kama ya binamu yangu[emoji23][emoji23]naweka (......) maneno yako yana maana nyingi sana[emoji114]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazembe game iliyopita na constantine alipoteza vibaya sanaWeek end njema, Leo kamshange tu caf champion league ,stade mazembe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazembe game iliyopita na constantine alipoteza vibaya sana
Hahahaha yale matokeo yalinishangaza sana,ila ndio mpira upo hvyo anko,,,ngoja tuone na leo atatoka vp
Hahahaha yale matokeo yalinishangaza sana,ila ndio mpira upo hvyo anko,,,ngoja tuone na leo atatoka vp
Kila la kher ankoo
Kila la kher ankoo
Hahahaha dah unakosa utamu ankoo,,mashabiki wa Mazembe ni wehu wale,,wana kichaa cha soko,,,wanaipenda ile timu hakuna mfanoHahahaha, ahsante tatizo niko na wazee halafu sitaki kuwa nao nitakosa ,amsha amsha za mashabiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana ,wananijua Hawa wazee wenzangu lzm niwakimbie tukifikaHahahaha dah unakosa utamu ankoo,,mashabiki wa Mazembe ni wehu wale,,wana kichaa cha soko,,,wanaipenda ile timu hakuna mfano
Ukoo mmoja damu moja maneno yenu saresare[emoji23][emoji23][emoji23]kama ya binamu yangu