Vaa ata vigodorooo

This special forum, the popular Makapuku
In the naked night you will see tens people
Take off your cloths and maybe you will see thousands more
When its quite here, We ask 'Mmetekwa'
Simply to mean member funked, in silence
yes, i said funked, I spelled it right in the sound of silence
And as we funking in our dodge 2019
No one should dare disturb the silence we enjoy today
Member hearing without listening
My uncle speaking without talking and
My aunt shares with no one
My binamus dancing without music and my girl thinks of dumping me
..she is tired, me waiting my Korosho money.
Nikiwa kwenye utulivu sauti sina, napenda kuandika ubeti mmoja au beti mbili za mashairi ya kisasa. Nimezoea na ninapenda, nimelelewa na wewe usiache kufanya kile unachopenda na mawazo mazuri huja wakati wa januari
![]()
Miss u tooNimewamiss tu mm shangazi yenu nawapenda jamani namalizia mfungo week hii tutaonana wapenzi![]()
Nimewamiss tu mm shangazi yenu nawapenda jamani namalizia mfungo week hii tutaonana wapenzi![]()
Miss u too
Heshima yko binamuNimekumiss aunt yangu
...eeh, kumbe uko kwenye maombi!!! Mbona sikulijua hili mapema nikuletee raha zangu uziombee.
kwanini sikujua hili mapema jameni, yaani hakuna hata mtu mmoja wa kuniambia. Watu wabaya sana.
haya sasa unamalizia maombi, je yalikuwa maombi ya mnyororo au ya kuungaunga kama sala za maskini
miss you Tumosa, hata kama nimequote miss you isiyonihusu. najali basi
wala ucjali miss u too binamu
Kweli binamu niziombee raha zako jamaniNimekumiss aunt yangu
...eeh, kumbe uko kwenye maombi!!! Mbona sikulijua hili mapema nikuletee raha zangu uziombee.
kwanini sikujua hili mapema jameni, yaani hakuna hata mtu mmoja wa kuniambia. Watu wabaya sana.
haya sasa unamalizia maombi, je yalikuwa maombi ya mnyororo au ya kuungaunga kama sala za maskini
miss you Tumosa, hata kama nimequote miss you isiyonihusu. najali basi

Mchana mwema na weekend njema binamuUsiku mwema wadau and happy almost Furahiday