Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Mbona unanitia aibu lakini baba wawiliUle uteuz wa mwanzo umetengua juu kwa juu
Mbona unanitia aibu lakini baba wawiliUle uteuz wa mwanzo umetengua juu kwa juu
Taratibu utalizoea tu,,waweza lifupisha pia,,NingeAsalaym alyekum bibie
Wouzerr wouzeeerHahahahaha
Shombeshombe baby kumbe,,,hapa ndio mahali pake






Anataka ukose kama alivyokosa yeyeHahahahaha binamu anataka kuharibu mambo
Ewaaaaaaa
Taratibu utalizoea tu,,waweza lifupisha pia,,NingeAsalaym alyekum bibie
unanichekaHahahah
mhhhhh ngoja tuone.....kwingine hakuna wanaotafuta, shukuru sana umetafutiwa hapa na kapatikna, usijichoshe kumzoea, yeye ndo atakuzoea na hakuna atakayekuzomea
Hahahhha najua vitu unavyopenda hupendi vurugu
Ewaaah,,nimefurahi kusikia hvyoOh haina shida, waaleyqum salaam ninge usijali nitazoea kidogo kidogo
Binamu,,hzo sifa unazotoa mwsho utaharbu sasa.....kwingine hakuna wanaotafuta, shukuru sana umetafutiwa hapa na kapatikna, usijichoshe kumzoea, yeye ndo atakuzoea na hakuna atakayekuzomea


Asante kwa kunielewa bibie,upo sehemu salama hapa wala usiwe na hofuHata hujakosea uko sahihi kabisa kaz kwake
hofu lazima haiepukiki mpaka nitakapokua comfortable na wwAsante kwa kunielewa bibie,upo sehemu salama hapa wala usiwe na hofu
Hata sikuchek,,nmefurahi kukuona
Habar za weekend?
wengine tuko ndani ya netiMnalewa lkn? au story tu
Ewaaah,,nimefurahi kusikia hvyo