Makapuku Forum

Makapuku Forum

No body can stop REGGAE Wapenzi wa muziki wa Reggae mpo ?
Reggae imewekwa katika orodha ya kumbu kumbu ya utamaduni ambao unastahili kutunzwa kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa.

Muziki huo ambao chimbuko lake ni Jamaica ulianza miaka ya 1960 kutokana na juhudi ya wasanii kama vile Toots na the Maytals, Peter Tosh na Bob Marley, umeongezwa katika orodha hiyo kutokana "urithi wa utamaduni usioonekana".
Screenshot_20181130-144547.jpeg
 
Daktari mmoja katika jimbo la Gujarat nchini India amekamatwa na polisi kwa tuhuma za mauaji baada ya kumfanyia upasuaji mama mjamzito akiwa amelewa.

Polisi wameiambia BBC kuwa mtoto alifariki punde tu baada ya upasuaji, na mama akafuatia baada ya muda mfupi.
Je madaktari wa upasuaji wanastahili kufanyiwa vipimo vya vileo kabla ya kuruhusiwa kuingia kwenye chumba cha upasuaji?
Screenshot_20181130-144715.jpeg
 
Mhadhiri mmoja katika Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) amezua mjadala mtandaoni baada ya kudai kwamba rushwa ya ngono imekithiri chuoni humo.

Kupitia kwa mtandao wake wa Twitter Dkt Vicensia Shule alisema “Nilitaka sana kuufikisha ujumbe wangu kwa rais Magufuli lakini niliwaogopa walinzi wake”
Je serikali na jamii inapaswa kuchukua hatua gani kusuluhisha tatizo hili la rushwa ya ngono kazini ?
Screenshot_20181130-145003.jpeg
 
Daktari mmoja katika jimbo la Gujarat nchini India amekamatwa na polisi kwa tuhuma za mauaji baada ya kumfanyia upasuaji mama mjamzito akiwa amelewa.

Polisi wameiambia BBC kuwa mtoto alifariki punde tu baada ya upasuaji, na mama akafuatia baada ya muda mfupi.
Je madaktari wa upasuaji wanastahili kufanyiwa vipimo vya vileo kabla ya kuruhusiwa kuingia kwenye chumba cha upasuaji?View attachment 951444
So sad wallah
RIP
Vipimo vya pombe vinatakiwa aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom