Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,331
- 95,713
Hahahaha
Kuachwa kusikieni tu wadau, yaani hapa ninasikiliza gospel kama nimetoka kubatizwa, nimeanza na David G, yule Prospa Ochimana, Pastor ushindi, Mukubwa, Cece Winnans, Kikosi Kazi, Abihud Misholi, ila tangu atokwe na mapepo sijasikiliza nyimbo zake