Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Hahah nmemuona shangazi,,ngoja niseme naeBaba wawili mbebez kaja usinitie aibu basi tumekutafutia na tumosa
Heh!!
Hizi teuzi za jiwe na wasiwasi nazo sana,,tazama kama hii teuzi iliyofanywa jana,,toka nmeteuliwa nipo nipo tu,,hyo ofisi yenyew sijakabiziwa nipo kama wazir kimvul![]()
Hivi kwa nn madaktari walevi hivi
habar mrembo
Hahaha na iman atarudi kmya kmya,,hapa hawez tangaza kama karudi,,,anaanzaje kuutosa ule mpunga wa koroshow??...bado ni mapema mno kulisema hili, marybaby bado ana hasira ya mimi kumuombea lift kwenye gari la kijeshi, akigundua umuhimu wa nilichofanya hasira zitapungua na atarudi kuwa na mimi vinginevyo akinikubali watamshangaa sana
Hahahaha kasema nikae kmya,,,anajua yy kwann kanteua,,,mambo ya jiwe hayaHa hahahahhaha, jiwe kakuona wewe kama Mzee Kingunge Ngombale Mwiru
Salama kaka
Hahaha na iman atarudi kmya kmya,,hapa hawez tangaza kama karudi,,,anaanzaje kuutosa ule mpunga wa koroshow??
Binamu ,,,ngoma ya watt haikeshi
Hahahaha kasema nikae kmya,,,anajua yy kwann kanteua,,,mambo ya jiwe haya
Salama ndugu yangu,,habar za kwako?
Weekend vp huko
...asante kwa kulijua hili, hawa wengine wananichanganya tu na hivi nimekaribia kupata hela basi wasingenimwaga ningechanganyikiwa zaidi. wabarikiwe sana na wewe uwe na siku nzuri kwa kusababisha yote
WoyoooooHahah nmemuona shangazi,,ngoja niseme nae
Akili zangu Ijumaa hii ya leo nina mashaka nazo sana, subirini jambo la kushangaza sana
Hahahaha....nimeachika tayari aunt yangu, na nimekuwa huru sana wikend hii ni kujirusha sana. Kazi kwako nasikia umeachwa na mtu chake ?




Ha hahahahhaha, jiwe kakuona wewe kama Mzee Kingunge Ngombale Mwiru
Salama kaka