Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahahaha, kweli shangazi, nilikua naona tu movement za watu humu

Bora umenitosa ,lkn wangejua nilikua naomba Roho mtakatifu huu urafiki uwe special humu makapuku

Ila ndio hivyo,acha tu nile ugimbi kwa Shayo hapa ,naona timu yake ya vyura wameshinda
Sijakutosa mm we ndio anko wao humu unaanzaje kujitoa
 
Kuna sababu nyingi lakini kubwa kuliko ni uvivu na kuogopa kuchuja urembo eti maziwa yatalala vibaya.

Wapo wanaosema kazi nyingi ila mama mwenye kujitambua hata kama ana ajira busy huwa anakumbuka kutenga muda wa mwanae kunyonya.

Wapo wanaoachisha watoto kunyonya ili tu bata zisimpite,ofa za bure etc
Mungu atuangazie kwa hili,tunaumiza watt bila sababu za msingi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom