Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Mfyuuuu si huyu Behaviourist[emoji1] [emoji1] [emoji1] waaaow kumbe sahivi kakubali kuitwa shangazi
Mfyuuuu si huyu Behaviourist[emoji1] [emoji1] [emoji1] waaaow kumbe sahivi kakubali kuitwa shangazi
Hahahahahah si naona hapo mnaitana rafiki sijuiNani anakwepa jamani
Weeeeh huyo mtoto wangu
Eeenh watoto wa kiume sasa hivi sana njaa mnoooDuh aiseeee
Ila bado namtetea mtoto. Mama mtu lishe yake haijakamilika haina virutubisho. Wamama wa zamani walikua wanakula hasa,supu supu,ndizi za maana,uji ndo usiseme maziwa yakitoka hapo full afya na vitamin za kutosha
WoyoooooooHahahaha, we ukikomba Sawa tu
Woyooooooo
Anko wao watu huyo shika shikamana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ndo kakubatiza hilo jinaMfyuuuu si huyu Behaviourist
Nangoja nisikie kauli ya shangazi@Marybaby ni mcute wa nan sema ukweliii
Huyohuyo jamani msiniulie toto angu[emoji23][emoji23][emoji23]shangazi taratibu bas kwa toto gani ss.?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] masikini...malizia sasa kilichofuata
Shunie imefanya nini Mzee wa watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyohuyo jamani msiniulie toto angu
Mary alisema mpaka binamu auze korosho@Marybaby ni mcute wa nan sema ukweliii
Huyo anko wao humuHahahahahah si naona hapo mnaitana rafiki sijui
@Obe koroshow zimeuzika bado.?[emoji22][emoji22]Mary alisema mpaka binamu auze korosho
Hahahhahahha furaha ilitoka kwaniHahahaha, naona unairudisha furaha yangu
Eeeenh na naona limepita kwa nguvu zote nilikukumbuka hiyo siku nabatizwa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ndo kakubatiza hilo jina
Alafu shangazi anarukaruka kama popcorn [emoji41][emoji41][emoji41]Hahahaha, shangazi yenu ataniua kwa presha huyu si kwa kumpenda huku
Nangoja nisikie kauli ya shangazi
Haya jamani mjuane Mary na AbjHahahahahah si naona hapo mnaitana rafiki sijui
Hivi si ulisema mpaka koroshow ziuzikeNangoja nisikie kauli ya shangazi
Hahahahha mbona kupendwa jamaniHahahaha, shangazi yenu ataniua kwa presha huyu si kwa kumpenda huku