Makapuku Forum

Makapuku Forum

Naomba nionjeshe kidogo
Msafiri Musa Muhumbuka raia wa Tanzania amekamatwa katika uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Kenya kwa tuhuma za ulanguzi wa mihadarati.

Musa ambaye alikuwa safarini kuelekea Uchina tayari ameshatoa kete 116 za madawa ya kulevya.

Alikuwa amemeza dawa hizo kabla ya kuwasili Nairobi.
Yeye pamoja na wenzake 2 wamepewa chakula ilikufanikisha uchunguzi.View attachment 945517
Chukua jukumu la kuwaonesha upendo wanaokupenda.
Wakati mwingi tunasingizia kazi na harakati za kutafuta chakula lakini huja siku ukafutwa kazi. Pesa nazo huisha mtu ukafilisika. Lakini jamii huwa nawe hata baada ya kufariki.
Tupende wanaotupenda!View attachment 945515View attachment 945516
Umoja wa Afrika umekiri kuwa rushwa ya ngono ni tatizo sugu kwa wale wanaotafuta ajira katika shirika hilo la kimataifa.

Mwenyekiti wa umoja huo Moussa Faki amesema uchunguzi wa ndani umebaini asilimia kubwa ya walioathirika ni wanawake wanaotafuta nafasi za kazi za muda.View attachment 945513
Karibuuuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom