Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji1] [emoji1] [emoji1] muulize hata yeye,alisema hanaga hizo mambo za kukula watoto wa watu,ye pombe tu ndo chakula chake
Hahahhahahha wewe ebu achana na pale kati palivyo patamu
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Hahahaha, kweli shangazi, nilikua naona tu movement za watu humu

Bora umenitosa ,lkn wangejua nilikua naomba Roho mtakatifu huu urafiki uwe special humu makapuku

Ila ndio hivyo,acha tu nile ugimbi kwa Shayo hapa ,naona timu yake ya vyura wameshinda
Hahahhahah anko wao watu bwana
 
Back
Top Bottom