Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,758
Shangazi hasalimiwi hivyo!! Shangazi huwa anasalimiwa shikamoo!Shangazi kwema?[emoji23][emoji23]
Shangazi hasalimiwi hivyo!! Shangazi huwa anasalimiwa shikamoo!Shangazi kwema?[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimemmiss toto angu Behaviourist
Binamu hi[emoji113] [emoji113] [emoji8] [emoji8] [emoji8]...ni balaa yaani nimeamka kukojowa ndo nakutana na Je Wajua! ha hahahahahah
Umeamka salama anko. Happy Furahiday
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tusitafutane ubaya binamuTumosa na ningendako nawatakia maandalizi mazuri ya wikend. Ndugu yenu mimi sijambo na ninafuatlia kwa umakini kozi ya kiingilishi mliyonilipia, ila ticheri kasema twisheni itanisaidia zaidi, gharama ni elfu 41 mia tano tu, mnipe mapema leo maana wikend imekaribia
Ana hela za korosho zinampa jeuriFamilia njema nashukuru.binam wenu ndio anaamka eti.,!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilisahau mkuuShangazi hasalimiwi hivyo!! Shangazi huwa anasalimiwa shikamoo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shukran sn na iwe njema kwako pia.
Alhamisi ni nini eti.? Alafu jana nimekuita wee ukajifanya husikii [emoji19][emoji19]
Alafu kuhusu umbo Mchina amenijazia chura mpk amenielemea
Hapati mpaka jumatatu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we utumbuliwe sio kwa maelezo hayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muulize zile za koroshow zmeenda wapi??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tusitafutane ubaya binamu
Hiyo utapewa jumatatu,leo pambana na hali yako
Hujambo dada anguHapati mpaka jumatatu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ataweka binamuAtuwekee na picha basi
Mwambie mbebez wako@Tumosa ombi la Anti litekelezwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahiyo binamu umewaona tumosa na kaka akee baba wawili tu sisi wengine sio watu humu eenh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...ndo naamka, si umeona mvua hii iliyodondoka usiku, yaani imewatisha hadi kunguni wamejificha maana si kwa radi hizi
Anasikia bc huyo,?Mwambie mbebez wako
KwakweliHapati mpaka jumatatu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani ale nyama ya mtu hadi iishe peke yake?[emoji86]Jamani wanaume mtanisamehe kwa hili.
Swali hili linawalenga dada, [emoji3590]wapenzi,wake, na kina mama wetu Je nini kinaweza kukufanya umchinje mtu unayekiri kumpenda kwa dhati , umkatekate vipande, uchanganye maiti yake na kitunguu kwenye sufuria yako na tui la nazi umpike na ule kitoweo chake kwa wali ? Taarifa kuwa
mwanamke mmoja raia wa Morocco aliua mpenzi wake na kumpika imeshtua ulimwengu wote. View attachment 943571
Mbio za sakafuniAna hela za korosho zinampa jeuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akili za binamu hasa za wkend me nazjua tusimpeHahahah binamu pesa yote hyo kwa ajiri ya twisheni au tuishieni?
Hv hyo namba hujaacha kuitafuta binamu...wengine ni watu, ila hawa wamenilia inglishikozi ili niwe namwambia marybaby maneno matamu matamu ya kiinglishi maana maneno ya kiswahili yanaukakasi sana kimalavidavi.
Ile namba ya Wena Sepenga niliitaka maana nasikia anangekewa kwa mtu aliyepata hela nyingi za mkupuo (tafadhari babay Mary asisikie hizi habari, wewe ni ndugu yangu wa ukweli)