Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Hahahaha nacheka mm kweli binamu tunae ngoja nikutafutie no ya wema tukuone na wewe kwenye font fed ukidendeka...wengine ni watu, ila hawa wamenilia inglishikozi ili niwe namwambia marybaby maneno matamu matamu ya kiinglishi maana maneno ya kiswahili yanaukakasi sana kimalavidavi.
Ile namba ya Wena Sepenga niliitaka maana nasikia anangekewa kwa mtu aliyepata hela nyingi za mkupuo (tafadhari babay Mary asisikie hizi habari, wewe ni ndugu yangu wa ukweli)


