Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tayali shangazi,,sasa hv binamh yetu hata kiswahili kasahau,,ni mwendo wa kuzungumza kilingara tu,,anataka awe anawatunza wale marapa wa bendi wawe wanamrusha "wapi pedeshee Obe na kati ya mtwara na lindi, hlf wanamalizia kumrusha marybaby

Koroshow Oyeeeee

...ha hahahahahaa, dah, koroshow nimeipenda hiyo, wale wakongo itabidi wajiandae sana, itabidi kwa namna ulivyoikalisha kamati ya kunisaidia kuaminika kwa baby Mary basi mcheza shoo wa Koffi anayekata mauno sana na ana shanga nyeupe anakustahili

 
ndio maana nimwkuheshimu sababu hao ni watu wako lkn ukajipambanua....
wanawake wawe na akili vinginevyo wataendelea kuumizwa, unakumbuka sekeseke la Ngabu?, wangapi walilia?
sababu waijua?
ni haya haya ya mikumbo.
huyo raia aliyeaibishwa unajua aliko anawaza kuwafanyia nini?
heshima kwako Shunie
nisamehe kwa kukuvamia

...huo uzi uko wapi? Nijulishe nikaongeze maarifa maana mimi na Tumosa utadhani tumechanjiwa hapa MF
 
Burudika na muziki huu ambao aunt yangu Shunie kataka uchezwe usiku huu na kama mnavyojua, mimi huwa nakuwa wa mwisho kujua masuala mbalimbali na hivyo nakuwekea uburudike muda huu. na ujue nini wewe mdau wa Jukwaa hili ningendako , Numbisa , Tumosa , marybaby , Lyon Lee , muafi , Slim5 , Behaviourist , Mtoto halali na hela , Mndali ndanyelakakomu , KingY , moneytalk na wewe ambaye sijakutaja, huwa mnanipa sababu ya kuja hapa maana jukwaa hili ni sehemu nzuri kuwepo sababu wewe upo. Alhamis njema

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom