Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tayali shangazi,,sasa hv binamh yetu hata kiswahili kasahau,,ni mwendo wa kuzungumza kilingara tu,,anataka awe anawatunza wale marapa wa bendi wawe wanamrusha "wapi pedeshee Obe na kati ya mtwara na lindi, hlf wanamalizia kumrusha marybaby

Koroshow Oyeeeee
Woiiiii pata hela tujue tabia yako ndio nayaona kwa binamu obe jamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom