Makapuku Forum

Makapuku Forum

Usijali kaka angu wala haujanivamia kabisa kweli kabisa hatujui mkaka wa watu anawaza vipii uko ili alipize kisasi hatujui ameumia vipiii ukiangalia watu wako wa karibu wamekugeuka
nitaendelea kujifunza kupitia wengine kila siku, watu wako wamenifunza, na wewe umenifunza kuwa haifai kufuata mkumbo eti kisa rafiki
 
Huwa tunajifunza kutokana na makosa na sio kila kitu cha kuiga sababu rafiki yako au ndugu amefanya na we uige hapana kuna maisha mengine lazima yaendelee tu
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji8]
 
Back
Top Bottom