Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,652
Vipii umefanikishaaa kumchota make niliziona harakatii zako pale kaunta ...mwendo wa vikaratasi
.....haya mambo usiyaongelee kwa sauti, yupo anajiswafi ndo nimeona nishike simu niage kabisa maana ukiiona alhamisi inaanza tambua Ijumaa ndo inakaribia.


