Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,652
Nimerogwa
...sasa yule mganga wetu ndo kazi yake hii, alishanipa dawa za kutegua kurogwa, ninazo nitakupa furiiii
Nimerogwa
KhaaaaMsafara wa kumpokea binamu yetu,,jana alikuwa biyulodechenji kubadari pesa zake alizouza koroshow![]()
wewe binti sikujuaga kama una akili kiasi hicho, nimekusifu na kukuheshimu sananiache na roho yangu mbaya kila siku tu unanidanganya kuhusu korosho
Sawa baba mchungaji msalimieWiFi mzima yuko Masomoni
haha...sasa yule mganga wetu ndo kazi yake hii, alishanipa dawa za kutegua kurogwa, ninazo nitakupa furiiii
Hahahhaha mnamtetea binamu yenu
Wapendwa ktk Bwana muwe na usk mwema kbs tumefurahi na kupunguza stress za maisha,ss zamu ya kitanda.
Nawapenda![]()
Haina noma zimefikaaaaaaaSawa baba mchungaji msalimie
Eeenh mkuu jamani asante jamaniwewe binti sikujuaga kama una akili kiasi hicho, nimekusifu na kukuheshimu sana
Hahhahahamganga mwenyewe nimewasili
Bana ebu niacheInatosha pliiiiiz
Unacheka mpaka unatupigia kelele sasa
Na mm nampenda jamaniHaina noma zimefikaaaaaaa
Anakupenda sana WiFi yako
Kweli kabsa binamu,,anko Lyon Lee huyo ndio anataka kukuharibia...hizo habari za kuwa wapo wengi zipuuze, wanachokuambia kina Tumosa na ningendako ni cha kweli tupu, yaani wewe ukifanya kosa tu unikubali basi kila mtu atakushangaa sana
NtakuchapaBana ebu niache
Mimi ni mzima mjomba hofu na mashaka ni kwako tuu!!mjomba mzima?
Kunichapa tena na nn eti baba mchungajiNtakuchapa
Tayali shangazi,,sasa hv binamh yetu hata kiswahili kasahau,,ni mwendo wa kuzungumza kilingara tu,,anataka awe anawatunza wale marapa wa bendi wawe wanamrusha "wapi pedeshee Obe na kati ya mtwara na lindi, hlf wanamalizia kumrusha marybabyKhaaaa
Kumbeeee kwahiyo binamu ameshalipwa mahela yake ya korosho
Na kichapioKunichapa tena na nn eti baba mchungaji