Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,758
Shikamoo shangazi!Wazima nimewamiss tu mm
Shikamoo shangazi!Wazima nimewamiss tu mm
Shangazi ulikuwa unaliwa tena?[emoji26][emoji26][emoji26]Niko hapa jamaani
Nafanya research dada alimpata kwa njia hipi...sijui mtoto wa fiesta au mwenge ata sielewiiii
Shikamoo shangazi!
AseeShangazi ulikuwa unaliwa tena?[emoji26][emoji26][emoji26]
Rafiki usiwe na hofu, huyo chura hashuki wala nini![emoji2][emoji2][emoji2]Tutakosa hata nauli ya kwenda kurekebisha chura akianza kuzingua [emoji35]
Hahahahahahha huyo hataki shangazi yake niliweAsee
Tatizo lako akija unaniruka futi 2000,ukipata jibu la research yako nitafute
Kwahiyo nisipoonekana shangazi yako naliwa tuShangazi ulikuwa unaliwa tena?[emoji26][emoji26][emoji26]
Marahaba jamani za we nimekumiss tu mmShikamoo shangazi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha, yaani ukifurahi nafurahi pia
Kwendraaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] amevunga siku nyingi leo kaamua kufunguka
KheeeeeeNa wewe ndio shangazi yetu[emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ni ulafi sasa, unataka makopa ya moneytalk na sasa unataka makopa ya rafiki yangu marrybaby!!marrybaby makopa unanipa au
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwezi juaNikipata muda ntafukua jukwaa baada ya jukwaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Kheeeeee
Hana tofauti na king mswatiHuu ni ulafi sasa, unataka makopa ya moneytalk na sasa unataka makopa ya rafiki yangu marrybaby!!
Hahahahahahha huyo hataki shangazi yake niliwe
Mbona shangazi jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahhahahha shangazi yake akiliwa sijui anaona aibu sijui nn Behaviourist ebu ukujeHahahaha, asee basi anafaa,kapata Anko mstaarabu,yuko na shangazi yake