Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Sio churaa yeye
Chura wangu ananitosha mwenyeweBa yy tena![]()
![]()
![]()
Sio churaa yeye
Chura wangu ananitosha mwenyeweBa yy tena![]()
![]()
![]()
Habari nilizipata jamani nimefurahi kumuona chura anayeruka rukaYuko wapi mkuu? Ameshajua kuwa tumerudi kutoka China jana na mambo ni moto?![]()
MfyuuuuuYy nn?
Jamaniii niko hapa asante we mzee kwa salaam
Hongera mama chura anaruka ruka nimemuonasijawahi ona urafiki huu,nalia mimi
Nawasalimia sana makapuku,mmemisika kweli na mimi apapopote mlipo bwana awe nanyi





Khaaaaa we bintiPunguza hofu mjomba,shangazi yupo kwaajili yako![]()
Hahahaha,hofu lzm si unajua tena shangazi yako navyomupenda ,kwakua shangazi MTU umesema ,sasa walau ka bia katashuka








Huo wimbo uliwekwa sasa
Nakujua chapombeHahahaha, Mjomba khs mm na hii kitu ondoa shaka,shangazi mwenyewe ananijua
Kabisa rafiki, siyo kwa kutoka sexy kule! Yakianza kushuka tutarudi tena China tukafanye repairment rafiki!![]()




Yashuke mara ngapi
Woyooooooo....burudika kwa sababu wewe ni mtu poa sana na ninakuzimia na naamini unalijua hilo, huhitaji la kichina, jaladia maana ukichojoa hatuangalii tunaangalia kipochi
Niko hapa
Jamaniii niko hapa asante we mzee kwa salaam
Mashalaah,moyo umefarijika kuona uwepo wako
Maraaa paaaapuuuu aunt wako anakujaa na je wajua mda huu
...akili za aunt yangu zinajijua zenyewe, zikiachiwa utashangaa analeta magazeti muda huu, sijui anatumia mkorogo au anaogea zile sabuni magadi za kigoma?







Nakujua chapombe