Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mida ya anko Obe kuwa moto katika kuposti ndiyo hii sasa!!


...nipo kamili kabisa na mchana mzima nilikuwa A-town natafuta kubadilisha hela zangu za korosho kwenda kwenye dola lakini wajeda wametanza kwenye maduka sasa inabidi nije Dar, wakazi wa dar jiandaeni kunipokea, msafara utaanzia kituo cha mabasi ubungo hadi eapoti kuna byurodichenji hapo nabadili naenda mbagala kisha nachukua mabasi ya South tayari kwa kurudi Mtwara
 
Binamu mtotto wa dada ujue sio anko wa skuliii basii

...watu wanadhani huwa tunatania tukisema sisi ni ndugu, hawajui sasa kuwaonesha kuwa sisi ni ndugu hebu niunganishe na Moneytalk maana kuzuri unakula na ndugu, kibaya sumu unakula peke yako ufe tule msibani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom