marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
[emoji38][emoji38][emoji38]Ww huyoo
[emoji38][emoji38][emoji38]Ww huyoo
Marhaba dada angu!!Shikamoo kaka angu
Nenda tafadhali [emoji50][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mm nitakuwa wa mwisho kama kuna ulazima wa kwenda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Natembelea wheel chair Rafiki [emoji24][emoji24]
Roho yako kwatu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hhhhhh tuombee mazur mna tunayokutna nayo mungu anajua.Mkufe na tai shingoni kupambana na yaliyomo mashimoni [emoji6][emoji6]
Hahahaha,hofu lzm si unajua tena shangazi yako navyomupenda ,kwakua shangazi MTU umesema ,sasa walau ka bia katashukaPunguza hofu mjomba,shangazi yupo kwaajili yako[emoji85]
Mpiga pic alikosea tuu kuedit [emoji34][emoji23][emoji23][emoji23]kwann nisikuamn
Ongeza na nyingine kwa niaba yangu[emoji39][emoji39]Hahahaha,hofu lzm si unajua tena shangazi yako navyomupenda ,kwakua shangazi MTU umesema ,sasa walau ka bia katashuka
Eenh my dear
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeimagine hayo mnayokutana nayo.poleni sn wanaume mmeumbwa matesoHhhhhh tuombee mazur mna tunayokutna nayo mungu anajua.
Ongeza na nyingine kwa niaba yangu[emoji39][emoji39]
Kinichekeshacho ni kwamba babe moneytalk sasa hivi amehamishia mabusu yote na makopa yote kwangu![emoji4][emoji4][emoji4]Kipiiii kikuchekechechachoooooo
Burudika mjomba,japokua sio sk rasmiHahahaha, kwakua umenitoa hofu sasa koo linafunguka rasmi
Burudika mjomba,japokua sio sk rasmi
Kabisa rafiki, siyo kwa kutoka sexy kule! Yakianza kushuka tutarudi tena China tukafanye repairment rafiki![emoji1][emoji1][emoji1]Roho yako kwatu.