Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mijamaaaa mijingaa kweliiii ila ngoja watamkutaa baba mkubwa make aliwaonyaa ...kama hawajaendaa kubangua korosho
Maombi yako hayajajibiwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Taarifa mbaya kwenu na nzurii kwangu kuhusu binamu Obe ..jana alilewaa na mke qa mtu mchepuko wake mpaka leo hajulikani yuko wapi

..nilikuwa Lesotho anko, sijatekwa na wala yule hakuwa mke wa mtu, alikuwa tayari katalikiwa ila kocha wa Starz pumbavu sana, nisingefumaniwa kama tungeshinda japo matatu.
Mzima lakini
 
..nilikuwa Lesotho anko, sijatekwa na wala yule hakuwa mke wa mtu, alikuwa tayari katalikiwa ila kocha wa Starz pumbavu sana, nisingefumaniwa kama tungeshinda japo matatu.
Mzima lakini
Binamu uongo umejifunza liniii.....

Kochaa ni mpumbavuu haswaaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kufuata nini huko mkuu?
Shangazi yako anakusalimia usiwe na wasiwas
20181119_150339.jpeg
 
Back
Top Bottom