Baba wawili huyooo na watoto wake wa kudownloadKwema ndugu zangu?
AmeeenTunaanza tunamshukuru mungu mola wa ulimwengu wote.
Tunamshukur mungu kwa kutujaalia kuiona siku ya leo na pia kutujaalia afya njema.
Tunamuomba mungu aturahisishie mambo yetu na atujaalie tue miongoni mwa waja wake wema.
Amin Amin.
KhaaaaAamin yarabil Alaamin. Shukran
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumeshapewa taarifa ukoo mzima,hapa tunamsubiria afike
Hii ilikuwa jana baada ya kupata taarifa kuwa binamu Obe yupo njiani anakuja
View attachment 941182
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huku kheri,umemsikia Binam yako eenh .?anahitaji mapokezi ya kiutawala
Aunt yako gani huyo binamuNamuona aunt yangu hapo kapigilia mparo wa ushungi utasema yuko kwenye kampeni za CCM
Ha ahahahhahah
Hahahahha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shangazi anafuraha sana,,toka hz habar tuzipate kuwa tayali umeshaenda biyulodechenji,,huku ni sherehe kila siku
Niko hapa niambie mzima ww
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mzee ebu uko waone wabebez wako wajue unanikula waninunie ugomvi siwezi mmMashalaah,moyo umefarijika kuona uwepo wako
HahahahahahHahahaha, ahsante kwa kunivumilia mamii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mzee ebu uko waone wabebez wako wajue unanikula waninunie ugomvi siwezi mm
Tutakosa hata nauli ya kwenda kurekebisha chura akianza kuzingua [emoji35][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!Anko amepatikana!!
[emoji58]tusaidiane maumivu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Magazeti na Je wajua.Wazima nimewamiss tu mm
Shkamoo Shangazi [emoji4][emoji4]Umeshasema Behaviourist sipokei shikamoo zaidi ya kwake
Nashindwa kuelewa kbs [emoji33][emoji33]Hahahhahah chura kaanza kushuka mapema
Maswali ya uchochezi haya[emoji85]Kwani Dada bado unampenda
[emoji38][emoji38]China ipiii hiyo