swissme
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 13,663
- 19,903
Mkuu huyu ndo patience123, umeamua kumrusha hapa?![]()
Dambantu
.............
Spain bingwa ni barcalona tu
Mbona yupo huku!amepotea....anatafutwa![]()
...............
Ndo nini kuniquote hadi mipost ya jumamosi leoSpain bingwa ni barcalona tu
Bingwa wa ulaya ni atletico madrid
Hawa viumbe!!!....kisa cha kukaa staili ya kujihelp???![]()
Dambantu
.............
Tuko juu madame sema kwa vile ubaoni likes zinasomeka 5 ila kule kwa nyani ngabu likes mpaka 50 zinasomaKungekuwa na kitufe cha Like za ujumla....basi ningewapa like mmoja mmoja kuanzia page ya 1 mpaka hii ya 1536.
Aisee....mmetisha makapuku.
Haijawahi kutokea
Huyu na makapuku ni damdam banaHe! Umeanza lini ukapuku?
Post za form five bado?
Duuu?? Huu ugonjwa hua haupotei kuna mtu amejituliza nao atamuacha huru akimchokaamepotea....anatafutwa![]()
...............
Anakumiliki vipi?Kwa sababu yy ni muhusika, anani miliki.
Hahaha prezdaa una kwara sanaNdo nini kuniquote hadi mipost ya jumamosi leo![]()
Tafuta swaga
Acha hizo
Siku mpya swaga mpya
.............
Wanajua udhaifu wa meHawa viumbe!!!....kisa cha kukaa staili ya kujihelp???
Ili akukamateHawa viumbe!!!....kisa cha kukaa staili ya kujihelp???
Mwili na rohoAnakumiliki vipi?
Kausha ndio napitia moja moja hapa sijaingia makapuku nina wiki sasaNdo nini kuniquote hadi mipost ya jumamosi leo![]()
Tafuta swaga
Acha hizo
Siku mpya swaga mpya
.............
Okay! Sawa.vitendea kazi.
swissme
Kwa mwili sawa ila roho!!! Mhh!! Mi sipo utajua peke yako na mungu wakoMwili na roho
Hahahaa sawaKwa mwili sawa ila roho!!! Mhh!! Mi sipo utajua peke yako na mungu wako